Advertisement

One thing I know, that, whereas I was blind now I see. John 9:25

One thing I know, that, whereas I was blind now I see. John 9:25 Kama kichwa cha habari kinavyoelezea, jambo moja nalifahamu kwamba nilikua kipofu sasa naona, wapendwa kama kuna wakati tunaotakiwa kufunguliwa macho na Yesu, ni sasa, Mda unakwisha na mlango wa rehema karibu kufungwa. Kuna mengi kuhusu matukio yanayoendelea na namna ya kujiandaa kukabiliana nayo, lakini ndo mwanzo maana Bwana ameandaa mengi kuhusu yatokeayo duniani unabii alioutabiri, kaa mkao wa ki askari, ila Kwa Leo, Kwa wimbo huu wa leo, itatusogeza karibu na mwokozi wetu, ebu na tuisikilize. ( Now it's a time that our eye is to be opened by Jesus, time is running out, probation is about to close. Subscribe for more news to come, for its the beginning but more concerning prophetic view are coming by the grace of Jesus.

blind

Post a Comment

0 Comments